Nafikiri hujanielewa mimi nimetoa maoni yangu hasa kutokana na watu wengi kufikiri kwamba treni zitapunguza foleni na wala sijatilia shaka kuhusu kuanza kwake kazi, nilichosema ni kwamba watu wengi wa kawaida bado watarudi kwenye dala dala kwa maana bado hatujaweza kumanage chaos, mfano mdogo sana angalia ferry ya Kigamboni kwa nini magari yanatumbikia baharini? Uongozi wa feri unashindwa kumanage chaos kitu ambacho ni rahisi sana kwa mfano kwa nini kusiwe na mpangilio wa kuruhusu aidha magari kwanza au watu wakati wote wa kushuka na kupanda ili kuondoa chaos matokeao yake watu na magari wanachanganyika, ni kutokana na uzoefu kama huo ndio umenifanya nifikiri kwamba hata hizo treni zitakuwa ni hivyo hivyo sioni jinsi ambavyo wanaweza kumanage hiyo chaos!We ndugu yangu mbona mgumu sana kubadilika? Au ni kwa sababu umeshakuwa conditioned na ahadi hewa za haohao CCM ndiyo maana humuamini yeyote kutoka chama hicho akikuahidi ukombozi? wako wachache miongoni mwao tunawaamini wataweza! please change your mind set! Kwani weye ukikaa juu ya kichwa cha treni si utafika kariakoo huku ukila upepo kuliko joto la ndani ya Daladala yahe?
wewe utaendelea na gari yako
waacha wengine wapate ahueni ya daladala
msongamano wa wtu angalau utapungua
bora watu hawatakaa ndani ya mabasi kubanana kwa masaa na kusikia kelele za makondakta na madereva wakiwa wanaendesha ovyo kuwahi upande wa pili.
ni idea nzuri sana,na hata nchi zingine rush hour traffic huwa bado ipo kama kawa.
wewe utaendelea na gari yako
waacha wengine wapate ahueni ya daladala
msongamano wa wtu angalau utapungua
Sio kweli, Kenya wanayo hiyo ya tangu mkoloni na kama sisi hiyo ya Ubungo inatembea na inapita sehemu kubwa ya watu kama vile ubungo na hakuna anayetaka kupanda zaidi ya watu wasioweza kulipa nauli za daladala wanadandia na kupanda juu ya treni ni chaos kuliko hata dala dala, kwa hiyo shida hapa ni jinsi ya kuifanya iwe bora kuliko dala dala na hiyo sio kazi rahisi kama unavyofikiri!
tatizo la wengi wabongo kila kitu wanabisha hata kabla hakijaanza
wlaibisha kujengwa barabara ya kawawa, upanuzi wa sam nujoma nk
wacha tren ianze watamanage tu suala la kusafiri bure halitakuwepo mtu anatakiwa akate ticketi ya wiki au mwezi
kutakuwa na machine card reader vituoni hakuna kuingia bure.
litapunguza sana tatizo la usafiri dar. kuhusu tegeta kuna reli kama hawajangoa itajengwa ingine
tuanze kwanza na reli iliopo nyingine itajegwa tu.
we kama una kigari chako wengine hatuna na itasave sana muda na fedha za wengi kuishia ktk mafuta
ticket ya WEEK au MWEZI nadhani wewe uko nje ya tanzania i mean ULAYA au MAREKANI. hivi mwananchi wa tandika au kigogo anayefanyakazi pugu road kwenye viwanda vya wahindi au makampuni ya ulinzi. NAULI YAKE YA SIKU TU NI YA KUBAHATISHA SEMBUSE HIYO TICKET YA WEEK AU MWEZI au hujawaona hata hii nauli ya daladala ya sh 300 mtu anaomba kwa konda kuwa ana 200. nakushauri acha kubeba maboksi rudi nyumbani uone halisi ya mwananchi wa tz
tatizo la wengi wabongo kila kitu wanabisha hata kabla hakijaanza
wlaibisha kujengwa barabara ya kawawa, upanuzi wa sam nujoma nk
wacha tren ianze watamanage tu suala la kusafiri bure halitakuwepo mtu anatakiwa akate ticketi ya wiki au mwezi
kutakuwa na machine card reader vituoni hakuna kuingia bure.
litapunguza sana tatizo la usafiri dar. kuhusu tegeta kuna reli kama hawajangoa itajengwa ingine
tuanze kwanza na reli iliopo nyingine itajegwa tu.
we kama una kigari chako wengine hatuna na itasave sana muda na fedha za wengi kuishia ktk mafuta
Mkuu acha treni ianze kazi hayo mingine ni mataokeo tu.