Treni yasimama katikati ya barabara Kawawa road

Treni yasimama katikati ya barabara Kawawa road

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
65
Kuna pale makutano kati ya reli na barabara ya kawawa ambapo kulitokea kulishawahi kugongana kati ya treni na roli kama wiki mbili zilizopita. Sasa hivi kuna treni ya mizigo imesimama katikati mwa Barabara. Sikuweza kupata picha kwani nilikuwa kwenye harakati ya kugeuza gari na kuwahi kufika ofisini kwa mkuu wa Mkoa, nilikuwa natokea Keko.
 
barabara ya kawawa road iko mitaa gani hiyo
 
Zamani tulivyokuwa tunatumia train kuna kitu kilikuwa kinaitwa Signal sie watumia tren tulikuwa tunaita ZIGINALI yaani kuna waya flani upo unaambaa ambaa na reli kiliometre ama metre kadhaa kutoka railway station ambapo kama unakuwa umenyooka maana yake dereva hajaruhusiwa kuingia yaani hajapewa line ila akikuta imelala chini anakuwa ameruhusiwa. Huyo amepaki hapo ZIGINALI haijamruhusu hivyo hajapewa njia na aking'ang'aniza kuingia ataishia kugonga mabehewa station kutokana na kuingia kwenye njia abayo sio yake
 
Labda sababu ni yale mabehewa yaliyoninuliwa kidilidili kila saa mabovu
 
p156710224-3.jpg
 
Back
Top Bottom