Treni reli ya kati yakwama Pugu

Treni reli ya kati yakwama Pugu

Magazetini

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
593
Reaction score
1,713
Habari wakuu,

Abiria waliokuwa wanasafiri na treni inayotumia reli ya kati kutoka Dar kuelekea Kigoma wamekwama kuendelea safari yao toka jana usiku kutokana na ajali iliyo mbele ya kituko cha Pugu hivyo kusimama kituo cha Pugu. Wanaohusika baada ya kutoa taarifa ya ajali hawaoneki eneo la tukio pia ofisi zilizopo kituo cha Pugu zimefungwa, abiria wamelalamikia uongozi kutochukua hatua yoyote juu yao.

Chanzo: ITV

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom