Treni jamani,. ..chonde chonde kipi kimeipata?

Treni jamani,. ..chonde chonde kipi kimeipata?

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,373
Jaman wadau nadhan mnajua umuhim wa tren na reli ya kati kwa usafir wa watu tutokeao kanda ya ziwa kaskazn,magharib,kusin.
Kuna taarfa zszo rasmi et tren imesitisha safar zake.Je hii ni kwel na sababu gan zmepelekea tatzo?,Na ln ukomo wa tatzo hl?.Tafadhal anayejua anjulishe..
 
Back
Top Bottom