Treni imeacha njia maeneo ya Buguruni Chama

Treni imeacha njia maeneo ya Buguruni Chama

Leo mi natamba na baiskeli yangu ubungo hiyoooo bila shida,ila sasa hii mvua ndo inaniletea gozigozi
 
Treni haijaacha njia ilichofanya Ni kuwapisha watembea kwa miguu watembee kwenye reli na wao wafurahi.Wana buguruni Leo ni zamu yenu kutembea kwa miguu kifua mbele kwenye reli
 
Treni haijaacha njia ilichofanya Ni kuwapisha watembea kwa miguu watembee kwenye reli na wao wafurahi.Wana buguruni Leo ni zamu yenu kutembea kwa miguu kifua mbele kwenye reli

Kutembea kwenye reli au kuvuka reli? Watu wanachelewa maofisini kufanya kazi za kujenga taifa wewe unaleta masihara?

Kutembea kwenye reli inakupaje kuweka kifua mbele?
 
Back
Top Bottom