Display Name
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 423
- 451
Treni imeacha njia Buguruni Chama Bakhresa.
Dereva unayetumia njia hiyo unashauriwa kutafuta njia mbadala.
Dereva unayetumia njia hiyo unashauriwa kutafuta njia mbadala.
Treni imeacha njia Buguruni Chama Bakharesa. Dereva unayetumia njia hiyo unashauriwa kutafuta njia mbadala
Cjakuelewa Mandela road njia haitembei!!!!?Ndio maana mandela road njia haitembei
Sijakuelewa njia haitembei!!!??Ndio maana mandela road njia haitembei
AhahahahaaaCjakuelewa Mandela road njia haitembei!!!!?
Sijakuelewa njia haitembei!!!??
Unaporipot ajari kitu cha kwanza ni kuzungumzia watu majeruhi au wafu kabla ya kitu chochoteTreni imeacha njia Buguruni Chama Bakhresa. Dereva unayetumia njia hiyo unashauriwa kutafuta njia mbadala.
Mbona kaeleweka aisee,watu wengine banaSasa unatuambia sisi au unamwambia huyo dereva
Wa stendi bana!!!Sasa unatuambia sisi au unamwambia huyo dereva
Babe nimechelewa kibaruani yani zinga la foleni kuanzia Tabata Matumbi kuleeFoleni ya tazara kazi wanayo

Ndio maana Mandela Roadnjia haitembei.
[/QUOTE___Njia haiwez kutembea labda watumiaji wa njia hiyo ndio hawatembei
Kiongozi una nongwa weweSasa unatuambia sisi au unamwambia huyo dereva
Nadhani anawatahadharisha watumiaji wengine wa barabara hasa madreva watumie njia mbadalaSasa unatuambia sisi au unamwambia huyo dereva
Ndiyo unayopenda kusikia mkuu!??Unaporipot ajari kitu cha kwanza ni kuzungumzia watu majeruhi au wafu kabla ya kitu chochote