Trekta inauzwa

Trekta inauzwa

Yumbayumba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2012
Posts
1,240
Reaction score
850
Brand: Massey Ferguson

Model: 290

Engine
Power: 80 HP
2WD

Bei: m27 pamoja na jembe lake
IMG-20190623-WA0005.jpeg
IMG-20190623-WA0003.jpeg
IMG-20190623-WA0001.jpeg
 
Ninazikubali sana Massey provided iwe ni ya England.

Nikiiona tu ninatikwa na udenda wa kilimo.

Chombo ya kilimo hii wacha kabisa!
 
Hilo trekta ni mali ya CCM naona kama lipo ofisini mwa chama?
Au ile kauli mbiu ya Kilimo kwanza imekufa?
Mkuu unazingua[emoji3][emoji3][emoji3] hii si mali ya ccm bwana hapo imepaki tu kwa muda
 
Hii ni ya England mkuu imetoka msumbiji kwa mzungu mmoja ndio alikuwa anaitumia bado ipo vzr kabisa
Ninazikubali sana Massey provided iwe ni ya England.

Nikiiona tu ninatikwa na udenda wa kilimo.

Chombo ya kilimo hii wacha kabisa!
 
Hii ni ya England mkuu imetoka msumbiji kwa mzungu mmoja ndio alikuwa anaitumia bado ipo vzr kabisa

Asante. Ni machine ambayo ukiimiliki haujutii. Cheap to maintain na spear zinapatikana kirahisi
 
Back
Top Bottom