Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Mar 15, 2022 #1 Wadau habari, nilikuwa napenda kufahamu kuhusu trc salary scale kwa ngazi ya diploma inakuwa vipi
P Project Engineer JF-Expert Member Joined Aug 27, 2019 Posts 3,578 Reaction score 6,087 Mar 15, 2022 #2 3,570,000
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Mar 15, 2022 #3 Emmanuelescabar said: Wadau habari..nilikua napenda kufahamu kuhusu trc salary scale kwa ngazi ya diploma inakua vipi Click to expand... Ni kawaida tu kama mishahara ya serikali, Tsh 500,000+ Ingawa kwasababu ya kazi nyingi, sometimes unakuwa kazini mpaka usiku unaweza kuwa unapata Over time
Emmanuelescabar said: Wadau habari..nilikua napenda kufahamu kuhusu trc salary scale kwa ngazi ya diploma inakua vipi Click to expand... Ni kawaida tu kama mishahara ya serikali, Tsh 500,000+ Ingawa kwasababu ya kazi nyingi, sometimes unakuwa kazini mpaka usiku unaweza kuwa unapata Over time
T Tuchki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 1,740 Reaction score 1,446 Mar 15, 2022 #4 BALENSIAGA said: 3,570,000 Click to expand... Mmmmh
Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Mar 15, 2022 Thread starter #5 MoseKing said: Ni kawaida tu kama mishahara ya serikali, Tsh 500,000+ Ingawa kwasababu ya kazi nyingi, sometimes unakuwa kazini mpaka usiku unaweza kuwa unapata Over time Click to expand... Shukrani sana mkuu
MoseKing said: Ni kawaida tu kama mishahara ya serikali, Tsh 500,000+ Ingawa kwasababu ya kazi nyingi, sometimes unakuwa kazini mpaka usiku unaweza kuwa unapata Over time Click to expand... Shukrani sana mkuu
Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Mar 15, 2022 Thread starter #6 BALENSIAGA said: 3,570,000 Click to expand... Nadhan apa kuna kitu akipo sawa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,068 Reaction score 184,825 Mar 20, 2022 #7 Ngoja waje kukupa muongozo...
Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Mar 20, 2022 Thread starter #8 kevoo500 said: TRC wana salary scale zao. Zinaenda TRCS1,TRCS2,TRCS3,TRCS4,TRCS5,TRCS6... Diploma nadhani ni level 4 ambayo kama 800-900 net Click to expand... Asante kaka
kevoo500 said: TRC wana salary scale zao. Zinaenda TRCS1,TRCS2,TRCS3,TRCS4,TRCS5,TRCS6... Diploma nadhani ni level 4 ambayo kama 800-900 net Click to expand... Asante kaka
Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Mar 20, 2022 Thread starter #9 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Sawa kaka
Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Sawa kaka
Mr njaa Senior Member Joined Feb 3, 2022 Posts 166 Reaction score 126 Mar 20, 2022 #10 Dah Kam diploma ndio hvo bas degree mishahara mizur
Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Mar 20, 2022 Thread starter #11 Mr njaa said: Dah Kam diploma ndio hvo bas degree mishahara mizur Click to expand... Ndio
M Muamu3 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,706 Reaction score 4,544 Mar 20, 2022 #12 Mr njaa said: Dah Kam diploma ndio hvo bas degree mishahara mizur Click to expand... Kama ngapi degree
Mr njaa said: Dah Kam diploma ndio hvo bas degree mishahara mizur Click to expand... Kama ngapi degree
joel komba New Member Joined Mar 30, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Apr 15, 2023 #13 Yellescabar said: Asante kaka Click to expand... Na trcs1 ni shingapi
Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Apr 15, 2023 Thread starter #14 joel komba said: Na trcs1 ni shingapi Click to expand... Ni kama laki 3
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,712 Reaction score 25,501 Apr 15, 2023 #15 Yellescabar said: Ni kama laki 3 Click to expand... Ndio mshahara mzuri huu?
Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Apr 16, 2023 Thread starter #16 kyagata said: Ndio mshahara mzuri huu? Click to expand... Nani kasema mshahara mzuri?
Yellescabar Senior Member Joined Mar 19, 2017 Posts 115 Reaction score 253 Apr 16, 2023 Thread starter #17 kyagata said: Ndio mshahara mzuri huu? Click to expand... Kama unalipwa trcs1 means elimu yako ni ndogo sasa mtu unataka ulipwe vipi wakati elimu iko chini
kyagata said: Ndio mshahara mzuri huu? Click to expand... Kama unalipwa trcs1 means elimu yako ni ndogo sasa mtu unataka ulipwe vipi wakati elimu iko chini
joel komba New Member Joined Mar 30, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Apr 22, 2023 #18 Yellescabar said: Ni kama laki 3 Click to expand... Saw sio mbaya kulingan na kiwango cha elimu
B baba khan New Member Joined Apr 8, 2022 Posts 2 Reaction score 0 Apr 23, 2023 #19 Yellescabar said: Nadhan apa kuna kitu akipo sawa Click to expand... Hyo 500000 na hata hii zote wanakupga fix ndugu yangu dploma mshahara zaidi ya hzo zoot mbili
Yellescabar said: Nadhan apa kuna kitu akipo sawa Click to expand... Hyo 500000 na hata hii zote wanakupga fix ndugu yangu dploma mshahara zaidi ya hzo zoot mbili