CentDeveloper
Member
- Dec 16, 2021
- 6
- 2
Wanatoa pasi kama vile ni favor kumbe ni haki ya mtu.Passport kupata omba unaenda kutembea Zambia,Malawi au Kenya ni haki yako kuwa na passport ingawaje maswali ya kizembe inatakiwa wayaondoe pale..ni rahisi kupata passport kwa wageni ila Raia wanasumbuka kweli mimi naumia sana kwenye hilo wakati Nchi zingine za Afrika tuu passport unaweza ukaomba kwa kujaza form za bank wao ndio watakuletea au utaenda kufata...
Unakuta mfanyakazi wa uhamiaji anamtolea mtoto wake wa miaka miwili ila mtu mzima Mtanzania mwenzie maswali kibao na kitambulisho cha Nida anacho cha kura anacho sasa wanataka nini hata vya shule anavyo si mambo ya ajabu hayo wananyima watu fursa wakati wao wana fursa tayari yaani wanaona wakimpa Mtanzania passport wamempa maisha..Wanatoa pasi kama vile ni favor kumbe ni haki ya mtu.
Ni hatari sana kwakweli, Nilikutana na Wahindi Immigration duuh! Walikuwa na mabahasha walinyenyekewa wengine tulisahaulika kwanza.Unakuta mfanyakazi wa uhamiaji anamtolea mtoto wake wa miaka miwili ila mtu mzima Mtanzania mwenzie maswali kibao na kitambulisho cha Nida anacho cha kura anacho sasa wanataka nini hata vya shule anavyo si mambo ya ajabu hayo wananyima watu fursa wakati wao wana fursa tayari yaani wanaona wakimpa Mtanzania passport wamempa maisha..
Ndio Bongo hiyo wakati Nchi za wenzetu sehemu ya raia inatengana na wageni na raia ananyenyekewa kweli..unakuta kibao cha Raia tuu...sehemu ingine wageni Nchi yetu ni ya wageni kwenye mambo ya msingi raia akiwa hana nguvu hapati haki yake..Ni hatari sana kwakweli, Nilikutana na Wahindi Immigration duuh! Walikuwa na mabahasha walinyenyekewa wengine tulisahaulika kwanza.
kaka mimi 70% ya scholarships, sponsorship hata kuapply vyuo vya kwaida nchini za njee wanahitaji passport naweza nikakutumia mfano nili screen shoot kabisa maana nilitaka niende moja kwa moja office zao nione napata maelekezo gani kuhusu hii swali na hichi kikwazo wanafunzi wengini tunakutanacho sana.Scholarship huwa zinahitaji nakala ya passport?
Usije ukaangukia mikononi mwa wanaija mkuu
kaka mimi 70% ya scholarships, sponsorship hata kuapply vyuo vya kwaida nchini za njee wanahitaji passport naweza nikakutumia mfano nili screen shoot kabisa maana nilitaka niende moja kwa moja office zao nione napata maelekezo gani kuhusu hii swali na hichi kikwazo wanafunzi wengini tunakutanacho sana.
hivi vingi ku upload inawezekana ila hapo kwenye passport sasa kaka ndio mtihani na deadline ni tarh 15 January. siunaona ugumu unapikuwa
kaka msadie maana nimeahindwa nifanyaje. kuna afya uhamiaji ninazo namba zake lakini nikituma sms anajibu kwa kifupi hafunguki sasa sijui shida nini. hizi agency nazo zinazodeal na haya mambo pia hata sms hawajbu sasa sijui wanaona watakurahisishia sana badala ukawape pesa wao wakfanyie sielewi
usemalo ni kweli sasa kama ukikosa siunanona tayari umeingia gharama. sema hiyo ya kenya iko poa.Jaza nchi mojawapo kati ya zile unazotaka kuomba passport.
Lile swali huwa ni formalities tu japo badae watataka barua toka nchi husika wakisema ni kweli wanakuita.
So cha kufanya hapo hebu tafuta mtu hata wa kenya...akuandikie proof letter .......