Sina details sana ila nitakueleza kwa uchache kwa nnavyojua.
Hii biashara ya transportation kama unataka kufanya as a transporter ni vizuri ukawa na malori ya kubebea mizigo na ni lazima uwe umesajiliwa kwenye chama chao.
Kazi yako inakuwa ni kusafirisha mizigo ndani na nje ya nchi kwa gharama unaoona ina faida kwako. Ni biashara nzuri ila ina changamoto zake kwenye uendeshaji na usimamizi..