Awe anasafirisha nn?Kama heading inavyosema hapo juu,
1. Awe anatoka Mwanza kwenda Arusha.
2. Awe anatoka Mwanza kwenda Dodoma, Morogoro.
Mi ni msafirishaji ila maelezo yako hayajajitoshelezaKama heading inavyosema hapo juu,
1. Awe anatoka Mwanza kwenda Arusha.
2. Awe anatoka Mwanza kwenda Dodoma, Morogoro.
Nenda stand ya mabasi Nyegezi kutana na mabasi yanayoenda sehemu unayohitaji huwa wanatoa huduma za kusafirisha vifurushi vidogo vidogo...Hapana si driver, nahitaji mtu anayefanya kazi ya kusafirisha small packages (mizigo midogo midogo) kwa route hizo nilizozitaja hapo ju.
Mkuu kwa transporter yeyote hapa Tanzania na duniani, akiyaona hayo maelezo hapo juu japo kwa uchache wake ataelewa. Wewe kama si transporter tulia tulii si lazima uelewe kila kitu, kuna vitu vingine si field yako.Watanganyika sijui tukoje...
Kujieleza tukaeleweka ni changamoto sana kwetu
Hii sindano ya begani inabidi iangaliwe kwa jicho pana..