Tumekuwa tukielezwa ya kuwa wizi wa mafuta ya transformer ndio chanzo kikuu cha kusababisha kungua lakini zaidi ya mwezi sasa kuna transformer mbili zimeungua katika wilaya moja wakati hakuna wizi wa mafuta uliotokea.
Wataalamu mnisaidie sababu zingine zinazoweza kufanya transformer i blow.
Wataalamu mnisaidie sababu zingine zinazoweza kufanya transformer i blow.