wakuu siku stini ni general wala sio kwa mtu mmoja mmoja yani walianza kuhesabu tokea registration zilipoanza na tokea tarehe 23 ndo zilikamilika mfano hapa DUCE majina ya watu 58 ambao walihama na wale ambao hawajasajiliwa kwa sababu zao binafsi yameshabandikwa tayari kwa kurudisha allocation zao bodi cha msingi loan officer wa chuo ulichohama anatakiwa asirudishe pesa mapema kuanzia sahivi ikiwezekana unaenda chuo husika kabisa mi mwenyewe nilikuwa st josef nampango wa kuwakuta wazirudishe hela zangu bodi mapema wasije wakahisi ni za kwao wakati watu tunapata shida hapa mjini na ukizingatia sisi ni wakiume