Transfer Window 2014/2015, Special thread

Arsenal have agreed a £19.8m fee with Real Madrid for Sami Khedira - personal terms now being discussed.
 
Kocha makini wa Juventus Antonio Conte ametangaza kuachia ngazi mara moja baada ya kutofautiana na Bodi ya klabu hiyo kuhusu usajili, na hasa suala la kumuuza Arturo Vidal.
Conte ameiwezesha Juve kutwaa ubingwa wa Serie A (Scudetto) miaka 3 mfululizo, na huenda akachaguliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Italia.
 
Kaka ungekuwa unachambua matatizo ya kiuchumi kama hivi tungekuwa mbali
 
Yahya Toure (31) ameweka wazi kwamba atabaki ManCity hadi mkataba wake utakapokwisha Mwaka 2017.
 
Wachezaji Javier Hernandez, Patrice Evra, Marouane Fellaini na Anderson hawamo kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa ManUtd wanaokwernda preseason tour Marekani. Huenda wamo kwenye 'tenga' la van Gaal kwa mauzo.
 
Lile dili la Mario Balotelli (23) kwenda Arsenal limefufuka tena! Sasa Wenger anakaribia kukamilisha mambo kwa dau la £15.8m. Hii ni baada ya kuachana na Loic Remy anayekwenda Liverpool kwa dau la £8.5m.
Balotelli atavaa jezi anayoipenda, namba 45.
 
Luis Suarez akiwa na mkewe Sofia ndani ya mitaa ya Barcelona jana Jumamosi. Suarez alioana na Sofia mwaka 2009.
Wawili hao walianza urafiki mwaka 2001, wakati huo Suarez alikuwa akifanya kazi ya kufagia barabara.
View attachment 172191
 
Khedira atatambulisha Arsenal kesho jumatatu_Metro.

Patrice evra atasaini mkataba na juve hapo kesho.
 

Nitahamia Arsenal kama ikishinda taji la EPL au UCL msimu ujao...
 
Golikipa wa Nice ya Ufaranca David Ospina (25, Colombia) anatua Arsenal kwa kitita cha £3.2m tu.
 
Arsenal imesema inataka kubadilishana Thomas Vermaelen (28) na ama Chris Smalling (24) au Phil Jones (22). Vermaelen amebakiza mwaka 1 kwenye mkataba wake na Arsenal, ManUtd inataka kumchukua kwa dau la £10m.
 
Nitahamia Arsenal kama ikishinda taji la EPL au UCL msimu ujao...


kHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE MKUU MWAKA HUU kOMBE LETU VANGAFFE HAJUI KUTOA BAHASHA NA WAINGEREZA HAWAMWAMINI MTU WA KUJA PATAMU HAPO ... .... .... .HAMIA EMIRATES FASTA NACHIKIA KULE OLD TRASHFORD WAMEANZA KUKATA MITI TU CHACHA.......ATI KUNA UPEPO MKALI ... .. MTAKOMA MWAKA HUU NA VAN GAFFE ... . MONO ALIKUWA PREAMBLE TU.
 

(CNN) -- One of the World Cup's most exciting players has joined Real Madrid.

James Rodriguez -- Colombia's star man at Brazil 2014 and winner of the Golden Boot -- penned a six-year contract with the reigning European champion after his transfer from Monaco was completed in a reported $121 million deal.
The 23-year-old midfielder's six goals and two assists at the World Cup had heads turning at all the big clubs, but Real was destined to get its man after Rodriguez told Spanish sports newspaper Marca that he dreamed of playing for "Los Blancos."
"It's really flattering to know that a club of Real Madrid's stature is interested in me. It'd be a dream to join the club of my dreams," Rodriguez said.

"Would I jump at the chance to go to Real? No doubt about it, my answer is a resounding yes," he added.
It was then only a matter of time before Real Madrid came knocking on Monaco's door.
Rodriguez joined Monaco last year for a fee of $60.8 million and scored 10 goals in 38 appearances as the French club finished runner-up to Paris Saint-Germain in Ligue 1.
Former Monaco chief executive and technical director Tor-Kristian Karlsen, who has regularly scouted players from Latin America, says Rodriguez is right up there with the world's best.
"He's possibly the best playmaker in the world at present," Karlsen told CNN in June.
Rodriguez even caught the attention of NBA star and avid football fan LeBron James.
"Man watching this Colombia game I think I have my new favorite player in the World Cup! Obviously his name help that out #Biased" LeBron tweeted.
The 10-time European champion has always aimed to buy the world's top players, and Rodriguez certainly fits the mold following his exploits at Brazil 2014, where he scored the goal of the tournament against Uruguay.
His innate ability to pick a pass and his willingness to attack with speed and control make him an exciting prospect for a Real Madrid team intent on playing a counter-attacking style of football.

Source: CNN
 
Madrid wamesainisha mtu... Sema hizi timu za spain huwa hazisajili mabeki..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…