Lakin Mwaka Huu Kuna Mabadiliko.Transfer Ztafanyka Online Kupitia Accnt Za Wadahiliwa Ambapo Mtu Hutapaswa Kwenda Tcu Au Ktk Chuo Unachotaka Taka Kuhamia Kama Ilivyokua Awali Ili Kuomba Nafac Bali Tcu Wenyew Ndio Watakuombea Hyo Transfer Ambapo Pazia La Transfer Ikfunguliwa Utapaswa Kulipia Tena 30000/= Tcu