Lakin Mwaka Huu Kuna Mabadiliko.Transfer Ztafanyka Online Kupitia Accnt Za Wadahiliwa Ambapo Mtu Hutapaswa Kwenda Tcu Au Ktk Chuo Unachotaka Taka Kuhamia Kama Ilivyokua Awali Ili Kuomba Nafac Bali Tcu Wenyew Ndio Watakuombea Hyo Transfer Ambapo Pazia La Transfer Ikfunguliwa Utapaswa Kulipia Tena 30000/= Tcu
so huwa unachelewa kwa muda gani
acheni usenge transfer transfer mnaliwa hela zenu bure ridhika na ulikopangiwa
Yeah huwaa ni lazimaaa uchelewee kwan allocation inakuwaa imepelekwa chuo kingine,hivyo kama utakubaliwa transfer pesa itachelewa sababu imebafilishwa chuo kwa uelewa wangu ni hivyooo
Kwa mwaka Jana waliofanya transfer walipata mkopo baada ya miezi mitatu kupita xo inabid ujiandae kujilisha na kulipa ada