AC milan iko ktk majadiliano ya kumsajiri mshambulia wa klabu ya Bayern Munich mjerumani Miloslav Klose mweye umrei wa miaka 32 lakini ana uwezo wa kuzifumania nyavu kuliko hao wenye miaka 25 na kurudi nyuma...
Kama dili itakwenda sawa basi atakuwa ni mshambuliaji mwingine wa kijerumani kuichezea timu hii baada ya Oliver Bierholf kutamba na Mabingwa hawa wa italia ambao pia wanaongoza kwa mafanikio duniani