Inawezekana ,nenda chuo unachotaka kuhamia ukaangalie nafasi ukipata watakupa utaratibu mara nyingi inahusisha kwenda TCU . Changamoto ni kuuhamisha mkopo,unaweza soma mwaka mzima pesa haijahama
Inawezekana ,nenda chuo unachotaka kuhamia ukaangalie nafasi ukipata watakupa utaratibu mara nyingi inahusisha kwenda TCU . Changamoto ni kuuhamisha mkopo,unaweza soma mwaka mzima pesa haijahama
Ila mimi nachukua Diploma ya clinical medicine ktk chuo cha private.
Ilipochek availabla slots Nacte nikakita college zote za government hakuna nafasi.
Nikaona niwaulize wakubwa wangu walionitangulia katika elimu kama upo uwezekano wa kufanya transfer baada ya kumaliza semister ya pili yani kabla ya kuanza semister ya kwanza ya 2nd year.