Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Mfano nimepata nafas katik chuo ambacho nakihitaji kunahaja ya kusubir mpaka transfer window ifunguliwe? Au naweza kwenda TCU na kukamilisha tu.
Dah Wangu Hawa Jamaa Ni Wasee Sana..Transfer Wanadai Ztafanyika Online Tu Mkuu So Till Hyo Transfer Link Iwe Open..Hata Ukienda Huko Chuo Utaambiwa Hvo Tu
Du mwaka huu cjui tutafanyaje..hali tete
Dah Wangu Hawa Jamaa Ni Wasee Sana..Transfer Wanadai Ztafanyika Online Tu Mkuu So Till Hyo Transfer Link Iwe Open..Hata Ukienda Huko Chuo Utaambiwa Hvo Tu