herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,199
- 1,377
Wadau Transcend External Hard Disk Drive StoreJet 500 GB MPYA nauza 130000 TZS, biashara nitafute kwa Private Message.
Wadau Transcend Hard Disk Drive StoreJet 500 GB MPYA nauza 130000 TZS, biashara nitafute kwa Private Message.
Wadau Transcend Hard Disk Drive StoreJet 500 GB MPYA nauza 130000 TZS, biashara nitafute kwa Private Message.
Watu wanataka teknolojia ya SSD sasa. Preferably 1 GB.
Haya ma disk ya kuzunguka yashapitwa wakati.Yanatumia muda mrefu sana kuandika na kusoma data.
Kama unaagiza angalia kama utapata SSD na soko la nyumbani kwa wanaojua haya mambo.
Nimeweka SSD kwenye laptop inafanya kazi bomba sana.

1TB ni 200000+ TZS, hiyo bei niloweka wewe kama uko na pungufu na unahitaji njoo tupange biashara maelewanomhh mbona bei kubwa. 1TB ni bei gn sasa
Poa.Ni kweli SSD ni nzuri zaidi lakini kwa soko la nyumbani ni ngumu kuuzika ni wachache watamudu gharama zake ndugu. Unless itolewe special order.
SSD??? ndo nini na ina matumizi gn mkuu, tuelimishe
1TB me nauza tsg.185,000/= brand new sealed in box.....pia natoa ofa nakuwekea movies 500,series60,mand 60albums pale utakaponunua kwa tsh.195,000/= badala ya tsh.185,000/= call 0689341445mhh mbona bei kubwa. 1TB ni bei gn sasa
1TB me nauza tsg.185,000/= brand new sealed in box.....pia natoa ofa nakuwekea movies 500,series60,mand 60albums pale utakaponunua kwa tsh.195,000/= badala ya tsh.185,000/= call 0689341445