Mtu mwenyewe hata kuandika kwa tarakimu anashindwa ataweza hayo mengine, nimetafta mzigo wa laki 6 nikawa nakosa nikarudia kusoma mara mbili ndipo nikaona kumbe ni 160,000

asante mkuu mi ni mkongwe hapa jf kwaio kujazwa upepo hapa ni kawaida tu na mpaka napost biashara nakua na mategemeo mawili yani nakua nimesha jiandaa mindset mana kuna watu wajuaji na watu wanao mind their own bzness