Huku TAMISEMI zinakuja barua za training na unakuta anatakiwa aende staff kama mfamasia, mtaalam wa maabara au mtaalam wa vifaa tiba. Ila kwavile taarifa inaanzia kwa MOI basi ye ndo anaenda ku cover staff wake ili apokee posho tu. Mwishoni waliotakiwa kwenda wanakosa updates izo ndo baadae wanakuja kulalamikiwa makazini huko.