Training ya forex Dodoma

Nimeongea nae anadai kiingilio ni Millioni 3 kwa mtu mmoja.
Mi Pia kaniambia hivyo hivyo hadi nikashtuka aisee,
Hadi nikamuuliza hii hela imejumuisha na Kula na kulala hapo hapo Nashera Hotel au? akakata simu
 
Mkuu umekosa convincing power kama Ontario
Bas ungempa hili deal the bold, aandae makara apa na chalinze ya kuwakamata watu mentality

Naomba niulze swal
Na ww unatumia slogan "forex is not for everyone"???
 
Mi Pia kaniambia hivyo hivyo hadi nikashtuka aisee,
Hadi nikamuuliza hii hela imejumuisha na Kula na kulala hapo hapo Nashera Hotel au? akakata simu
M3??haiwezekani mkuu,na hata kama ni kweli hakuna mbongo atakae enda
 
Usicho amini ni nn hasa? Kiingilio ni Millioni 3 kama huamini namba ziko hapo juu mpigie umsikie.
M3??haiwezekani mkuu,na hata kama ni kweli hakuna mbongo atakae enda
 
tutakuja hiyo hotel ipo mtaa gani
 
Naona mtoto wa nje ya ndoa umekuja dai Mali za marehemu baba ako
 
Training ya siku tatu. Then mtu anaaminishwa anakwenda kuvuna mpunga wa bwerere kupitia forex trading.
 
duh matapeli mmerudi tenaaa.hahahahaha mtawapata wajinga wenzenu.wap ontario jamaa wang tukiwa ihungo boyz paleee.
[HASHTAG]#FOREX[/HASHTAG] NI UTAPELI TU
Nimetrade ada yang mpaka leo najuta ukizingatia eu ndo inanukia.
 
pole sana ulidhani FX ni tatu mzuka eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…