Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,941
- 24,816
Naweza kusema kwamba trafiki sasa wamegeuka TRA maana huku nilipo kila kona wamejaa.
Ukionekana na chombo cha moto Gari,pikipiki ata Bajaji wataikagua kila sehemu mpaka wakulipishe faini ndio wanakuacha.
Muda mwingi nikiwaona nawaza labda wametumwa kuwa TRA wa barabarani ili waongeze pato la taifa.
Maana kuna makosa mengine ya kuelezana tu lakini wao ni faini tena Elfu 30 kwa kila kosa
Nawaonea huruma sana vijana waliojiajiri kwenye bodaboda na Bajaji maana hizo faini zinawarudisha nyuma na kuwafanya wafanye kazi yao kwa hofu ya kulipishwa faini.
Kiukweli ni uonevu na ni kero kwa sasa.
Kama wewe unaona kwako ni kero pia coment hapa naamini wahusika watapita na kujionea mawazo ya wana JF.
TAHADHARI
Kama una gari,pikipiki au Bajaji unamiliki hakikisha wakati wa kutoka nyumbani uwe umebeba elfu 30 ya faini njiani.
ZERO IQ.