Trafiki wa Nzega watafutiwe muarobaini

Trafiki wa Nzega watafutiwe muarobaini

Hujawajua traffic wa singida sisi madereva wa mabasi tukifika pale singidani huwa tunanyooka gari zinanyata kama zinaenda kwenye harusi kila saa mguu kati mshale chini ya 30KPh
 
Juzi safari ya km 400 nilisimamishwa mara 7.
Kwa hao 6 hawakuona kosa lolote kwa chombo changu na uendeshaji wangu. Yule wa 7 baada ya kuona sina kosa akaanza kuchungulia uvungu wa gari. Mwishowe akasema tairi ni kipara. Akaandika 30,000 tsh. Aliniudhi sana.
Jitahidi kila unapokaguliwa na askari aku-printie risiti ya ukaguzi. Ukikamatwa mara ya pili unawaonesha unasepa.
 
Traffic hajawahi kuwa mkorofi kwa mtu ambaye anaheshimu watu, siajwahi kugomaba na Traffic hata siku moja
Kwa mfano;
Siku moja nikapita pale mataa ya Mwenge natokea Tegeta, nikakamatwa na traffic kijana mdogo tu. Sikubishana naye, akaamua kunipelekea kituomi pale Mwenge.
Kabla hatujafika kituoni, akaamua kunisamehe, alikuwa anaangalia upepo kama nina nidhamu ama la
Baada ya hapo tukawa marafiki tukabadilishana namba za simu hadi kuna siku allinitembelea ofisini
Tatizo letu wengi wetu hatuheshimu watu; siyo kwamba hatuheshimu Polsisi, hapana; HATUHESHIMU WATU!
Hapana mkuu issue sio heshima issue ya hawa jamaa ni rushwa. Wenye malori sasa ukiwauliza ndo utajua ubaya wa Traffic.
 
Niliwahi pita hapo jamaa aliruka toka huko kaja na mashine yake maswali mengi utadhani ananifanyia Interview nilibaki kucheka tu yaani jamaa anatafuta kosa kwa lazima baadae kaniweka anasema nenda...
 
Hujawajua traffic wa singida sisi madereva wa mabasi tukifika pale singidani huwa tunanyooka gari zinanyata kama zinaenda kwenye harusi kila saa mguu kati mshale chini ya 30KPh
Traffic wa Iguguno Singida wamezidi aisee.
 
Juzi safari ya km 400 nilisimamishwa mara 7.
Kwa hao 6 hawakuona kosa lolote kwa chombo changu na uendeshaji wangu. Yule wa 7 baada ya kuona sina kosa akaanza kuchungulia uvungu wa gari. Mwishowe akasema tairi ni kipara. Akaandika 30,000 tsh. Aliniudhi sana.
Tatizo ni mfumo na utawala mbaya ulioko huku. Ukivuka boda ya rusomo utaenda na kufanya mizunguuko yako mpaka unarudi hujawahi simamishwa na trafic, labda itokee tu umevuja sheria hasa ya over speed, kutoheshimu trafic right na zebra crossing.
 
Back
Top Bottom