Trafiki wa Iringa wamezidi kupenda rushwa, wanaomba hadi kwenye gari la maiti

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Kuna kosta ilipeleka maiti toka Dar kwenda Mbeya. Walipofika maeneo ya Mafinga trafiki mmoja mweusi sana akachukua leseni orijino ya dereva. Sasa wakati kosta hiyo inarudi juzi kuamkia jana ilibeba abiria pale Uyole wanaoenda Dar, cha ajabu kumbe wale trafiki walikuwa wanapigiana simu juu ya ile kosta kwahiyo kila ikisimamishwa wanaikamua hela za rushwa kuanzia 2000 mpaka 5000.

Dereva akaona isiwe shida akalipa faini ili asafiri kwa uhuru. Kuna mahali akafika Igurusi nadhani, trafiki wa kike akachukua rushwa ya shilingi 5000 kwa kumwambia dereva ampe hela ya kusukia. Tulipofika Mafinga yule trafiki aliyempokonya dreva leseni yake akamrudishia halafu akapewa rushwa ya shilingi 10,000.

Kiufupi trafiki wa Iringa toka Uyole juzi wengi walikula rushwa sana. Trafiki acheni njaa zitawaponza, mpaka gari la maiti mnalikamua? Hamna hata aibu!
 
KAMANDA MKOA WA IRINGA USIJALI ATAWAPELEKA FFU, NA WALE WA FFU WATAKUJA BARABARANI...HII ILITOKEA KIPINDI KILE CHA KAMANDA ADVOCATE NYOMBI...!
 
Kuna kosta ilipeleka maiti toka Dar kwenda Mbeya. Walipofika maeneo ya Mafinga trafiki mmoja mweusi sana akachukua leseni orijino ya dereva. Sasa wakati kosta hiyo inarudi juzi kuamkia jana ilibeba abiria pale Uyole wanaoenda Dar, cha ajabu kumbe wale trafiki walikuwa wanapigiana simu juu ya ile kosta kwahiyo kila ikisimamishwa wanaikamua hela za rushwa kuanzia 2000 mpaka 5000.

Dereva akaona isiwe shida akalipa faini ili asafiri kwa uhuru. Kuna mahali akafika Igurusi nadhani, trafiki wa kike akachukua rushwa ya shilingi 5000 kwa kumwambia dereva ampe hela ya kusukia. Tulipofika Mafinga yule trafiki aliyempokonya dreva leseni yake akamrudishia halafu akapewa rushwa ya shilingi 10,000.

Kiufupi trafiki wa Iringa toka Uyole juzi wengi walikula rushwa sana. Trafiki acheni njaa zitawaponza, mpaka gari la maiti mnalikamua? Hamna hata aibu!
fedha ya kushafishia viatu (Kiwi)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom