Trafiki na tatizo la rushwa barabarani

Trafiki na tatizo la rushwa barabarani

mihadarati

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
268
Reaction score
74
Nipo kwenye gari tangu saa 12 nimetoka moshi naelekea Singida kwenye mazishi.

Kwa kweli kitu ambacho nimekiona cha tofauti na kero kubwa kwa wasafiri ni pamoja na rundo la trafiki barabarani kila baada ya kilomita mnapigwa mkono na hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuchukua rushwa.

Huwa natumia sana njia hiyo mara kwa mara ila kipindi hiki wamezidi,maana mara ya mwisho wamecmamisha gari kisa watu wawil hawana siti na kungangania rushwa ya shilingi 20000 kwa kweli inasikitisha sana.

Natumai kwa east afrika nchi yetu ndo inayoongoza kwa usumbufu wa askar barabaran wasiokuwa na tija wanasimamisha gari wanaanza kukagua mabegi kwa kuuashika na mikono eti ndo kuangalia madawa ya kulevya.
 
Pia tusisahau kuwageukia na hawa waendesha magari wa Kitanzania. Ukweli ni kwamba karibia nusu ya madereva wenye reseni hawakustahili kuwa nazo, hii ni kutokana na upeo wao na uelewa wa jinsi ya kuendesha magari katika barabara zinazotumiwa na binadamu. Ukitafakari inasikitisha na kuaibisha japo ndio nchi yetu hii!
 
kama ni maeneo ya mkoa wa singida hata usishangae, nimetembea mikoa kadhaa ya tanganyika, hakuna mkoa una traffic wasumbufu kama singida, kuna wale wa pale misigiri stand, washawahi nikamata na toch ya speed wakati kuna jamaa kanipita na hawajamkamata, mi nkawauliza kama mimi nimevuka 50 speed, huyu aliyenipita katembea ngapi? wakaanza oohoo bro tusaidie basi ya maji si unajua jua kali? nkawaambia nachelewa natakiwa kulala iringa. SINGIDA TRAFFIC MMEZIDI BANDUGU
 
You are damnly right, but it starts with those same fellows- Traffic polices; wanapenda rushwa, wanapewa rushwa na wanatoa leseni za udereva kwa wasiostahili.
 
Ampigie ili afanyaje ndio maana matatizo hayaishi je siku huyo unayempigia hayupo unafanyaje
swala ni kufahamu je kinachosababisha rushwa ni nini
je wanaoingia kufanya kazi ile wanaingia kwa njia sahihi tu isije watu wanaingia kwa kama wagombea ubunge ghalama nyingi kazi wanapopata hawafanyi kazi kazi ni kurudisha ghalama walizotumia tu
je sekta zingine kuna madudu kama haya je wanadhibiti vipi
na kuna watu wavunja haki nalo lipo siyo mtu anakuja kubwabwaja jf tu eti rushwa kumbe makosa mengi tu
ndio maaana watu hawaendelei wewe unampigia kiongozi je chini hakuna uongozi je asiye namba afanyaje basi hakuna haja ya kuwa na office ukikamatwa mpigie raisi akili ya chekechekea
Mkuu mpigie erenest mangu au una mamba yake
 
Kwa hiyo usikamatwe eti rushwa sulipe tu
Nipo kwenye gari tangu saa 12 nimetoka moshi naelekea Singida kwenye mazishi.

Kwa kweli kitu ambacho nimekiona cha tofauti na kero kubwa kwa wasafiri ni pamoja na rundo la trafiki barabarani kila baada ya kilomita mnapigwa mkono na hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuchukua rushwa.

Huwa natumia sana njia hiyo mara kwa mara ila kipindi hiki wamezidi,maana mara ya mwisho wamecmamisha gari kisa watu wawil hawana siti na kungangania rushwa ya shilingi 20000 kwa kweli inasikitisha sana.

Natumai kwa east afrika nchi yetu ndo inayoongoza kwa usumbufu wa askar barabaran wasiokuwa na tija wanasimamisha gari wanaanza kukagua mabegi kwa kuuashika na mikono eti ndo kuangalia madawa ya kulevya.
 
Nipo kwenye gari tangu saa 12 nimetoka moshi naelekea Singida kwenye mazishi.

Kwa kweli kitu ambacho nimekiona cha tofauti na kero kubwa kwa wasafiri ni pamoja na rundo la trafiki barabarani kila baada ya kilomita mnapigwa mkono na hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuchukua rushwa.

Huwa natumia sana njia hiyo mara kwa mara ila kipindi hiki wamezidi,maana mara ya mwisho wamecmamisha gari kisa watu wawil hawana siti na kungangania rushwa ya shilingi 20000 kwa kweli inasikitisha sana.

Natumai kwa east afrika nchi yetu ndo inayoongoza kwa usumbufu wa askar barabaran wasiokuwa na tija wanasimamisha gari wanaanza kukagua mabegi kwa kuuashika na mikono eti ndo kuangalia madawa ya kulevya.

Bwana bado kuna msumbufu mmoja yupo pale USA -Arusha anaitwa TOSH naye ni kero kwa madereva, anatakiwa kutupiwa jicho.
 
Nipo kwenye gari tangu saa 12 nimetoka moshi naelekea Singida kwenye mazishi.

Kwa kweli kitu ambacho nimekiona cha tofauti na kero kubwa kwa wasafiri ni pamoja na rundo la trafiki barabarani kila baada ya kilomita mnapigwa mkono na hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuchukua rushwa.

Huwa natumia sana njia hiyo mara kwa mara ila kipindi hiki wamezidi,maana mara ya mwisho wamecmamisha gari kisa watu wawil hawana siti na kungangania rushwa ya shilingi 20000 kwa kweli inasikitisha sana.

Natumai kwa east afrika nchi yetu ndo inayoongoza kwa usumbufu wa askar barabaran wasiokuwa na tija wanasimamisha gari wanaanza kukagua mabegi kwa kuuashika na mikono eti ndo kuangalia madawa ya kulevya.
Tatizo ni jina lako. Maana nyie wanawake wazuri kwa hiyo biashara siku hizi hamjambo
 
kama ni maeneo ya mkoa wa singida hata usishangae, nimetembea mikoa kadhaa ya tanganyika, hakuna mkoa una traffic wasumbufu kama singida, kuna wale wa pale misigiri stand, washawahi nikamata na toch ya speed wakati kuna jamaa kanipita na hawajamkamata, mi nkawauliza kama mimi nimevuka 50 speed, huyu aliyenipita katembea ngapi? wakaanza oohoo bro tusaidie basi ya maji si unajua jua kali? nkawaambia nachelewa natakiwa kulala iringa. SINGIDA TRAFFIC MMEZIDI BANDUGU

Kibaha wewe noumaa sanaaaa usichezee pwani
 
Kweli kabisa wale wa pale Msata ni zaidi ya wapenda rushwa halafu wanataja kabisa tupe kiasi flani.inakera sana,mshahara wake ale mwenyewe na familia yake,mshahara wangu tugawane mie na yeye!inaudhi na kukera sana.
 
Tatizo ni jina lako. Maana nyie wanawake wazuri kwa hiyo biashara siku hizi hamjambo

Tatizo ni sisi kivip ndo tunawatuma wapokee rushwa barabarani!

Suala hapa ni kwamba siweki uzii huu hapa kwa ajili ya kuwatetea madereva wazembe na wanaovunja sheria za usalama barabarani hapana,ila nina hasira na uchungu kwa askari wanaosimamisha magari hata kama yamevunja sheria na yana makosa wanachukua rushwa badala ya kuwawajibisha.

Hivi kama kazi yao ndio hiyo wanaofanya barabaran unafikir ajal za barabarab zitakwisha?mabadiliko yanahitajika.
 
Na mimi yamenikuta jana. eti Stika ya usalama barabarani : "kama vipo fanya buku mbili yaishe"!
 
Back
Top Bottom