Askari wa usalama
barabarani wilaya ya kakonko anayejulikana kwa jina MBAYA ameshindwa
kuwasiliana na Raia wa kigeni aliyekuwa anaendesha gari T7610BVV,mpaka
akamuita askari mwenzake anaitwa Rudo,
Kaka wabongo lugha yetu kiswahili,kwa polisi kuongea kiingereza sio lazima,na hii sio kwetu tu,kuna nchi nyingi duniani ukienda na kiingereza chako unaweza kuchelewa kupata huduma.
lakini ukiwa kwenye public service hasa traffic lugha kama kiingereza ni muhimu maana utakutana na binadamu wengi kutoka nje ya nchi.
Askari wa usalama barabarani wilaya ya kakonko anayejulikana kwa jina MBAYA ameshindwa kuwasiliana na Raia wa kigeni aliyekuwa anaendesha gari T7610BVV,mpaka akamuita askari mwenzake anaitwa Rudo,
Askari wa usalama
barabarani wilaya ya kakonko anayejulikana kwa jina MBAYA ameshindwa
kuwasiliana na Raia wa kigeni aliyekuwa anaendesha gari T7610BVV,mpaka
akamuita askari mwenzake anaitwa Rudo,
Mkuu acha kutudanganya bana! Tanzania bado hatujavua "mbeleko ya mkoloni katika Elimu"!!! Huyo Polisi anadhaniwa kuwa na kiwango cha Elimu ya chini kabisa-Kidato cha 4, na masomo yote ya "Vidato" yanatolewa kwa "Lugha ya Malkia"!!! Kwamba kashindwa sio swala la kutetea kirahisi rahisi hivyo!!!
ukienda kusoma nje unapigwa miaka 2 dry kwanza ya kujifunza lugha yao ndio uanze masomokwanza hao wageni inabidi wajue lugha yetu na sio sisi tujifunze ya kwao kwani huo ni utumwa
Askari wa usalama barabarani wilaya ya kakonko anayejulikana kwa jina MBAYA ameshindwa kuwasiliana na Raia wa kigeni aliyekuwa anaendesha gari T7610BVV,mpaka akamuita askari mwenzake anaitwa Rudo,