Trafiki afa baada ya kukamata daladala

Huo ni ukatili na ushetani kwa binadamu mwenzako anayetafuta maisha, mshauri kama yeye ni mlozi sana afanye hivi: Magari yake yote yawe hayawezi kuonekana kwene macho ya trafiki, as simple as that.
hili nalo neno bora afanye hvyo kuliko kuua
 
Acha kuwajambisha askari kwa ushirikina. Wengine wanalindwa kwa damu ya Yesu
Ndugu siye tumekuli huko,ni kweli huyo mzee yupo,kuna afande mmoja alikuja mgeni wenzake wakamusa kuhusu huyo mzee Kilenga lakini akaw mkaidi,siku ya siku maeneo ya stendi kuu moshi mjini akalikamata Kilenga express na ndo ikwa mwisho wa ajira yake.Ilikua kila akitia mguu ofisini majipu makubwa yanamtokea mwili mzima na homa kali sana mpaka alipo kufa..
 
Yuko mzee mmoja wa kipare anaitwa "Kilenga" ni maarufu sana mkoani kilimanjaro, huyo mzee ana magari (Kilenga Luxury) yanayopiga ruti za Arusha, Moshi, Tanga. Ikitokea trafiki akakamata gari yake basi huo ndo mwisho wa uhai wa huyo trafiki.

Msiwatishe askari waadilifu hapaa!
 
Kakamata gari isiyokamatwa ya watu walioaga kwenye miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…