Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Trafiki mmoja kasimamisha gari ndogo maeneo ya Magomeni, Dereva akakaidi na kunyoosha goti kama wasemavyo watoto wa mjini.
Trafiki naye kaona isiwe kesi, karukia mlango wa gari kaushikilia gari ikiwa kwenye mwendo toka Magomeni mpaka taa za Moroco. Hapo ndio mchezo ulipoishia jamaa akanaswa.
Ilikuwa kama movie vile lakini nimejiuliza, kwanini trafiki hakuchukua tu number za ile gari?
Amehatarisha maisha yake sana au alitaka ushujaa wa kijinga.
Nimeacha picha linaendelea pale mtu kibao nikachukua hamsini zangu. Ila nimemdharau trafiki kiukweli.
Ushujaa huo wa ku risk maisha yake, angeupeleka kupambana na majangili ningempa tano.
Walioko hapo tupieni tupicha mimi sikuweza kuchukua kutokana na mazingira.