wakuu nisiwachoshe sanaa.
naamini humu kuna wataalam mbali mbali na ikiwezekana kunaweza kukawa na hata watu waliowahi zitumia hizi TORCH kama ambavyo zinaitwa.
hapa namaanisha ni zile kamera za kunasa speed ambazo huwa zinatumiwa na trafic kurecord magari yanayokuwa speed zaidi.
swali langu ni jee hizi kamera zinafanyeje kazi mpaka zinanasa speed unayokuja nayo gari?? au zinawezaje kunasa peed ya gari??.ni techologia gani inayotumika?!
na je camera zile zinaweza hata nasa speed ya kitu kingine chochote kile??.
kiufupi ile ni RADDAR . anapokuelekezea inatoa miale ambayo ikigonga kizuizi inaakisiwa tena kurudi kwenye tochi yenyewe. sasa kasi ya hicho kizuizi kilichoakisi ile miale ndio inayobadili mwendo kasi wa miale ile iliyoakisiwa. (hii.inaitwa doppler effect). Kifaa hiki kinaweza kupima mwendo kasi wa kitu kingine pia sio gari peke yake.
Nelcon Advanced Physics form 6 Topic WAVE Subtopic Light Doppler effect

phyiscs wave fom five.. ambao bado wanakumbukumbu nzuri
wakuu nisiwachoshe sanaa.
naamini humu kuna wataalam mbali mbali na ikiwezekana kunaweza kukawa na hata watu waliowahi zitumia hizi TORCH kama ambavyo zinaitwa.
hapa namaanisha ni zile kamera za kunasa speed ambazo huwa zinatumiwa na trafic kurecord magari yanayokuwa speed zaidi.
swali langu ni jee hizi kamera zinafanyeje kazi mpaka zinanasa speed unayokuja nayo gari?? au zinawezaje kunasa peed ya gari??.ni techologia gani inayotumika?!
na je camera zile zinaweza hata nasa speed ya kitu kingine chochote kile??.
Na je hakuna kifaa cha kuweza kuzuia isisome? #physics #
hahahaha mkuu kumbe na.wewe unawazo kama langu sababu wakati na waza unawezaje kuzuia torch wakikupiga isiweze fanya kazi nikaanza kwanza kujiuliza inafanyaje kazi utendaji wake kazi so kwakuwa wametuambia kwa juu juu hakuna aliyetuelezea kiundani zaidi na kitaalam majibu yao ni wave na light sijui form 6 physics.
wanasahau kuwa wote hatuja soma physics.
hembu wataalam dadavueni vizuri na je ni vipi unaweza ukafanya ukipigwa torch isisome??
wakuu nisiwachoshe sanaa.
naamini humu kuna wataalam mbali mbali na ikiwezekana kunaweza kukawa na hata watu waliowahi zitumia hizi TORCH kama ambavyo zinaitwa.
hapa namaanisha ni zile kamera za kunasa speed ambazo huwa zinatumiwa na trafic kurecord magari yanayokuwa speed zaidi.
swali langu ni jee hizi kamera zinafanyeje kazi mpaka zinanasa speed unayokuja nayo gari?? au zinawezaje kunasa peed ya gari??.ni techologia gani inayotumika?!
na je camera zile zinaweza hata nasa speed ya kitu kingine chochote kile??.
Nelcon and Parker ! Daaahhh umenikumbusha mbali sana !
kwanini mkuu umesema hivyo??.
LEGELEGE bila shaka ndio utakuwa wamzungumzia .
Pia CHAND imeeleza vizuli sana hii topicNelcon Advanced Physics form 6 Topic WAVE Subtopic Light Doppler effect