Trafic wakimbia mvua!

duuuh! wapi huko??? yaani madereva hawaendeshi wanasubiria traffic waje waruhusu???
 
duuuh! wapi huko??? yaani madereva hawaendeshi wanasubiria traffic waje waruhusu???

Soma uzi wa.. EX COP utaelewa kwanini madereva wao bila kuongozwa na traffic hawaendi
 
Last edited by a moderator:
Kwni ulijua hao traffic ni kumbikumbi yan nyie mstarehe na migari tune wenzenu waloe.
 
Kwahiyo leo Kilwa road ni hatari huko sipati picha
 
nyie madereva jifunzeni kuheshimia mtumiapo barabara...
 
Tazara?

Maana tazara napo panachosha sana
 
Ni bora wasiwepo kabisa ili kpunguza makelele yenu.Leo ndo mmeona umuhimu wao mkome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…