The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,326
- 3,561
Wanakera sana sana hao jamaa. Naombeni mwongozo, ni kosa kama ukitoka Kimara na ukaenda msikitini kwa kupitia barabara ya kuchepuka kwenye mataa ? Au ukitoka Chuo kupitia barabara ya Changanyikeni inabidi uingilie Rombo (kama unaenda Kimara) badala ya kutokea BP na kuendelea na barabara ya kuchepuka mpaka kwenye mataa?Hawa jamaa wamegeuka kero sana kwa madereva na wananchi wanadai rushwa kwa nguvu, ukiwanyima wanakubambikia makosa kibao,ukiwapa hata kama gari yako haikidhi vigezo vya usalama wanakuacha. Namna hii tusubiri ajali zaidi.
Point kbs mkuu trafik awapo kusaidia/shauriana/elimishana wao wapo kwa kazioja tu kukomoa kwa kukuandikia faini wanaona ndiyo jukumu lao tu basi lkn c kuonya/elekeza hpn fikiria ulichokisema hapo mm majuzi nimetoka mwenge nakwenda stendi ya mkoa kufika mataa mbele akuna gari na taa zimewaka nyekundu zimeruhusu zinazotoka kimara kwenda buguruni nikaona nisikatize sheli pale nikakunja yakuja stendi uwezi kuamini trafiki alikuwepo ngambo akakimbilia faster nakunisimamisha ananiambia nimevuka taa nyekundu wote 4 tukaandikiwa nilimaindi sanaHaya matatizo yanasababishwa na Tanroads kwa kutokuweka vibao vya kutosha hasa maeneo ya Rombo na Bucha!! Mimi ninavyojua na ndio hivyo dunia nzima unaweza kufanya u turn kwenye Traffic lights ila kwa weledi wa wenzetu wanaona ni kosa kubwa!! Fikiria unatoka ubungo maziwa na unataka kiingia stendi ya mkoa kiuhalisia Gari zikiruhusiwa kwenda Mwenge unaweza kufanya U TURN!! Kwani hakuna hatari yoyote unayosababisha kiusalama!! Ila ndugu zetu wameona chanzo cha Mapato!! TANROADS MKOA MMEKWENDA SHULE TAFSIRINI SHERIA NA WEKENI VIBAO WATU WANATESEKA KWA UWEPO WA SHERIA ZA HISIA ;;;UJUMBE HUU UMFIKIE ENGINEER NDYAMKAMA NA TEAM YAKE!!! Huku rombo na bucha ni tatizo kubwa sana Jamani tunakwenda wapi na uonevu huu??