Traffick Zuzu alimsimamisha mwanamama aliyekua anaendesha gari mitaa flani hivi.
Traffick: Naomba Leseni yako tafadhali.
Mwanamama: Leseni ndo ikoje?
Traffick: Ina shepu ya mstatili afu ina sura yako.
Mwanamama akapekua mkoba wake akatoa kioo cha kujirembea akampa afande.
Traffick: (Baada ya kuitazama) Kama ungeniambia mapema kuwa wewe ni Traffick nisingekusimamisha, uwe unasema!