Traffick eneo la Mafinga ni wezi na matapeli

Traffick eneo la Mafinga ni wezi na matapeli

kimpe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
911
Reaction score
862
Salaam wandugu,
Kusema ukweli kuendesha gari ndogo eneo la Mafinga si salama tena. Askari wa eneo hilo wanatabia ya kubambikia madereva tochi. wanapokaa (Mahakama) wanajifanya wametumiwa picha whatsapp et mtandao unasumbua haifunguk ila wanathibitisha kwa plate number walioandika kwenye karatas. Niliwabana nkawaambia washa wifi nwashe tethering mi mtandao full wakaishia kunifukuza niondoke ili nisiwaharibie kwa wengine.
Kuondoka mita kama 300 mbele nakuta wengine wananiambia et nimeovertake mlimani sehemu ambayo ina climbing lane tukabishana sasa climbing lane ya kazi gani pale wakaniachia.
RAI: Tembea mwendo wa serikali Mafinga na cha kufahamu tu kwenye kibao cha 50 wanakaa na tochi kibao kinapoishia ukiwa hta na 53 unalipa, usilipe faini bila uthibitisho maana wanabambika hao
 
Hao maskini wamepewa malengo. Ni sehemu ya TRA. SGR lazima ijengwe iwe jua au mvua
 
sasa weulitaka utembee na 53 wakuache??
 
Mkuu sasa hutaki traffic wafanye kazi yao?
 
Aisee bila kuwavimbia watakuonea...nimependa ujasiri wako wa kuhoji ushahidi
 
Aisee bila kuwavimbia watakuonea...nimependa ujasiri wako wa kuhoji ushahidi
Huku arusha stand ya mabasi, wache ru,wala traffic hawajuwagi Kuna cha pccb wala cha nani ,Ni kuomba rushwa mtindo mmoja.trafic huku kupangiwa point ya stand ya mabasi Ni deal.Hivini lazima traffic wakae stand za mabasi?mbona abiria akiibiwa pesa,au mizigo, au abiria akilanguliwa nauli mbona hawatusaidii chochote. ?
 
wako "kikazi" zaidi inasikitisha sana mkuu
 
Back
Top Bottom