Traffic police na ufanyaji kazi wao wa mazoea

undugukazi

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
315
82
Nimefuatilia sana aina ya polisi wa barabarani na ustaarabu wa madereva wa nchi nyingi. Hauwezi kuringanisha na mfumo wa polisi wetu wa tanzania wa barabarani maarufu kama traffic police. Hoja yangu ni kwanini sheria za barabarani zinaendelea kuvunjwa pale ambapo hamna uwepo wa traffic? Hamna ubunifu mpya style zao ni zilezile kujazana road na ku block service roads.

Ushauri.
Wawekeze kwenye Elimu ya barabara ili madereva wajue ustaarabu wa kutumia njia za ndani. High way. Unapaswa kuendesha speed gani ikiwa high way au njia za jiji upande wa kulia au wa kushoto

Pili
..kunapokuwa na foleni basi wawe wabunifu na sio kupeana favor na ndugu zao. Wakatazwe kukaa na simu zao wakiwa wanaongoza magari.

Tatu
..kuna madereva akili zao ni kama haziko sawa. Kutanua kucheza faulo road na kujifanya wajuaji sana ikiwa ni pamoja na kipaki hata sehemu ambazo wanajua zitaleta foleni.

Nne
...polisi wawezeshwe
 
Back
Top Bottom