Traffic na rushwa

oleoju

Member
Joined
Jul 28, 2014
Posts
66
Reaction score
8
Sijui tunaelekea wapi jaman rushwa imezd kwa hawa viumbe hata takwimu znasema hivyo ila nimewaandalia dawa yao
 
.. oleoju tena kwa taarifa yako mleta mada kuanzia sahvi trafic watazidi kula hela kwa hasira....yaani ni rushwa mbele kwa mbele..maana walivyoskiaa vigogo walivyokuwa wanachota hela za escrow tafrik vichwa vmewaumaaa zaidi....
hiyo niliambiwa na trafik fulani wanaokaga pale mlalakuwa tulipokuwa tuna piga story so tujiandae kwa maumivu yao zaidi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…