Traffic mnakaba mpaka penat???????

Mhhh, ukifikia hatua hii hata wale waendesha maguta na baiskeli inabidi wawe na leseni, lol!
 
Mhhh, ukifikia hatua hii hata wale waendesha maguta na baiskeli inabidi wawe na leseni, lol!

Wanakwambia wanaume kazini, ukimwonea aibu mtu utakufa njaa.
 
Polisi wa wenzetu wastaarabu sana, anataka kukaondoa katoto barabarani so anakaondoa kistaarabu kwa kujishusha kwenye level yake.lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…