Traffic light Mwenge azifanyi kazi traffic wamesimama opp na BP wanakamata magari..Aisee

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Hawa watu sio wakuwaacha sehemu moja wanazoea kazi


Tuko kwenye folen tukajiuliza shida nn nashuka kutembea nakuta gari zimejazana kwenye trafficlight kila mtu anataka kwenda


Kuangalia njia ya kwenda mwenge nawaona mtraffic watatu wamengangania gari kila mtu na lake...


Mmoja anaangalia kabisa ile msuguano nani apite aisee tuna kazi kubwa sana sana..
 
Pale mwenge Kuna tatizo kubwa kwa gari zinazo toka tegeta kwenda ubungo. Mshale wa kuelekeza gari kutoka tegeta kwenda ubungo, ukizima moja kwa moja inawaka red kabla ya njano. Yaani njano haiwaki kabisa, basi kuna trafiki wako pale wanajuwa lazima kuna watu watapita red tu. Na wanapokea rushwa tu, kuna ki traffic kifupi, na limoja lirefu lichaga hivi, yaani yanaamka mapema kuwahi pale kukusanya pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom