KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Hapa ni wanausalama wa barabarani wakimthibiti mtekaji...
Wako wapi..........?.....
Hahaha afande mzima alishindwa kupiga roba
tunakuaminije?Hapa wakimdhibiti mtekaji.
Wako wapi..........?.....
Mkuu acha kumuaibisha "tulafiki polisi" kwa kusema alipiga kelele kuomba msaada kwa wenzie.Sema "alitumia mambinu ya kiintelijensia"!Hata hivyo nimecheeeka sana mkuu!