Tradecar view na VALUE PLANNER CO.,LTD

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,909
Reaction score
3,461
Wakuu habarini!

Moja ya makampuni yanayofanya shuguli kupitia trade car view ni VALUE PLANNER CO.,LTD je kuna yeyote ambaye amewahi kuitumia hii kampuni?

Uhakika wake na wa mzigo ukoje?
 
Wakuu habarini!

Moja ya makampuni yanayofanya shuguli kupitia trade car view ni VALUE PLANNER CO.,LTD je kuna yeyote ambaye amewahi kuitumia hii kampuni?

Uhakika wake na wa mzigo ukoje?

mkuu .... nenda kwenye page ya hiyo kampuni katika website ya tradecarview halafu angalia 'user review' utaona recommendations na testimony za watu mbali mbali walionunua gari kuna waliosema Yes na No ... hebu wasome wa no utaona matatizo waliyonayo

cheki hapa chini comments za wateja wao recently





my take .... hawa jamaa ni wasumbufu .... hawafanyi inspection na kutoa certificate



 
Thanks mkuu! ngoja nianze fuatilia
 
Umeshapigwa wewe hao ni wapigaji man,kama unataka gari nenda showroom na mkeo na watoto chagua gari mnalopenda na watoto wapande wafunge mkanda wasikilize radio na utest kidogo then lipia

Acha kufanya biashara za watu ,wewe uko ofisini au unafanya biashara,wewe uwe muagiza magari,wewe ukaklie gari bandarini ndio maana mnapigwa kwa sababu ya ubahili na uoga wa kijinga eti gari ya kuagiza sio sawa na ya showroom nani kasema??soma hizo comment za wadau hapo ndio ujue kununua hapa na kuagiza kipi bora

Acheni waagiza magari wayalete hapa sisi twendeni showroom tukajichagulie
 
Nimekupata! Hapo sio, shida kubwa ya showroom zetu ni kuwa jamaa (wahudumu wa hapo) wanachomoa vifaa! Nina uzoefu nao ndo maana sihangaiki na showroom!
 
Bado naendele kusema the best way to purchase a car especially the used ones is physical...gari iliyotumika njia nzuri ya kuinunua ni kuiona na kuikagua..sio kutegemea picha..hao jamaa wanawezakukutumia gari ukajua ni ua mwaka 2004 ikifika bandarini na kukaguliwa inakutwa ni 1999..ndio wapo wengine ni safi lakini sio 100%
 
Ndo maana tunauliza ikishindikana! Tutaanza kuuliza showroom ipi inauza gari za ukweli (ambazo hazijachakachuliwa)! Kwani wadhani watu wanaagiza za nini, hatupendi kusubiri shida ni wale vijana wanaowekwa pale! full kuchakachua!

Kama huamini pitia milango ya nyuma ya showrooms uone
 
Kwa dar tujulisheni showrooms zinazoaminika jamani.
 
Unahitaji gari gani? Nunua beforward kaka, usidangaanyike na wauza magari wa bongo showroom zimejaa mikweche iilyopata ajali, hata hzo wanazoingiza zinakuwa overpriced. Last time wife alihitahtaji Forester, showroom wanauza 12M, nimemwagzia hiyo gari ikafika kwa 8.4 Anaendesha barabarani, na gari ilifika ikiwa exactly kama muuzaji alivonieleza! Beforward nimeagza zaidi ya mara 6 sijaahi kudanganywa!!! Kama unaogopa nenda showroom kawape faida
 

Kazi unayo!
 
Wakuu habarini!

Moja ya makampuni yanayofanya shuguli kupitia trade car view ni VALUE PLANNER CO.,LTD je kuna yeyote ambaye amewahi kuitumia hii kampuni?

Uhakika wake na wa mzigo ukoje?

Sema gari gani unahitaji tukupe link za watu walioko serious huko Japani!
 
Wakuu habarini!

Moja ya makampuni yanayofanya shuguli kupitia trade car view ni VALUE PLANNER CO.,LTD je kuna yeyote ambaye amewahi kuitumia hii kampuni?

Uhakika wake na wa mzigo ukoje?

Kama una hela yako na unahitaji gari bila ubabaishaji tembelea tovuti hii www.autorec.co.jp ingiza username - africa3 na password - 860971
 
Tumia paytrade system ni nzuri mana pesa inaingia kwanza kwenye account ya tradecarview mpka ukiishathibitisha kupokea gari ndo wao humlipa huyo seller. Tradecarview inawakusanya wauzaji wa magari.
Nimetumia huduma hii na nimepata gari nilochagua
 
Exactly, Kujituma na kujiridhisha kumekusave 3.6m. Waache waoga waendelee kuwafaidisha watu wa show room. Mimi nimeshaagiza magari mara nyingi sana na kampuni zote hazijawahi niletea kitu ambacho sikuagiza.
Be Forward, Real Motors JP, Kitagawa, Trust, Royal-Trading Jp na wengine wengi sana ni wauzaji makini sana na hawana longongo.
Cha muhimu, unaponunua Kupitia trade car view, Lipa kwa paytrade, Mawasiliano yote yafanye kwa trade car view's emailing system, Uliza maswali yote unayotaka kuuliza, omba picha zaidi za kila kitu, engine, boot, under, inside, out, all angles.... Ukisharidhika Nunua. Tena mimi huwa nawaambia na matairi mapya waweke, akikataa namwambia biashara inaishia hapo, kuna wengi tu wanaweza kuweka matairi mapya na rims... Na 99% huwa wanakubali.
 
My advice nunua na SBT japan, nimeshanunua gari tatu kutoka kwao they are on time..and wana ku assist mpaka the end..they keep they r promise na hawazingui hata kidogo..amd hata baada ya kununua wataendelea kuwasiliana nawewe kujua kama gari imekusumbia chochote and things like that.
 

uko sahihi bro! Hiyo gari ya showroom ni bora kwa kuwa utakagua kila kitu na habari ya kuchomoa vitu ni nadra sana.
 

njoo Arusha ipo moja ya kisasa inaitwa Image Motors na guarantee ya miezi sita wanatoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…