SIMBA mtoto JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 204 Reaction score 100 Jan 20, 2012 #1 Natafuta tractor la kulima shamba la ukubwa wa ekari 25, shamba lipo wilaya ya Kisarawe, kupitia njia ya Chanika. Tafadhali kama unalo au unajua mtu mwenye biashara hiyo naomba mawasiliano nao.
Natafuta tractor la kulima shamba la ukubwa wa ekari 25, shamba lipo wilaya ya Kisarawe, kupitia njia ya Chanika. Tafadhali kama unalo au unajua mtu mwenye biashara hiyo naomba mawasiliano nao.
ldd JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 790 Reaction score 128 Jan 21, 2012 #2 Plz consult farm track!
DullyM Member Joined Mar 24, 2011 Posts 72 Reaction score 18 Jan 21, 2012 #3 Yupo mhusika wa hilo humu!! alikuwa anatafuta tenda we saka tu kwenye thread zilizopita
P pattyb Member Joined Jan 21, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Jan 21, 2012 #4 TZS50,000/= kwa ekari moja na inategemeana na umbali wa shamba lenyewe, kama upo tayari ni PM