Tractor inauzwa bei cheeee

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
443
Inalima na pia ina kijiko cha mbele kwa ajili ya kazi za ujenzi.







Ni mashine ya mwaka 2010



Kiti kizuri cha kukalia muda mrefu bila kuchoka



Ni tractor kutoka kampuni ya New Holland



Kama gari vile


Model



Ni mashine kweli kweli



New Holland Diesel
2010 4
boomer 50 47
4WD 16 speed mechanical shuttle

[TD="class: attrLabels"] Make: [/TD]

[TD="class: attrLabels"] Fuel:[/TD]

[TD="class: attrLabels"] Model
Year: [/TD]

[TD="class: attrLabels"] Engine Cylinders:[/TD]

[TD="class: attrLabels"] Model:[/TD]

[TD="class: attrLabels"] Engine HP:[/TD]

[TD="class: attrLabels"] Drive:[/TD]

[TD="class: attrLabels"] Transmission:[/TD]


IPO MAREKANI NA MPAKA SASA INAUZWA TSHS MILIONI 11.
 
Mpaka kufika hapa si ni zaidi ya kununua hapa
 
Hivi mpaka sasa pembejeo za kilimo ni Tax Free pale bandarini eenh? Mkuu kwa ujumla mpaka inatua bandari ya Dar ni kiasi gani?
 
Ndiyo Mkuu pembejeo za kilimo hazitozwi kodi yoyote bandarini. Bado sijajuwa nauli inagharimu kiasi gani ila kama umeipenda niambie nifanye mchakato.

Hivi mpaka sasa pembejeo za kilimo ni Tax Free pale bandarini eenh? Mkuu kwa ujumla mpaka inatua bandari ya Dar ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…