SyntaxReaper JF-Expert Member Joined Dec 5, 2017 Posts 364 Reaction score 293 Mar 7, 2023 #1 Habari wadau Naomba kujua kwa wataalam, hivi kama mtu amebadilisha namba za simu lakini akasajili namba mpya kwa majina yake, ie katumia ID yake naweza nikamtrack kupitia ID namba mfano Nida? Shukrani
Habari wadau Naomba kujua kwa wataalam, hivi kama mtu amebadilisha namba za simu lakini akasajili namba mpya kwa majina yake, ie katumia ID yake naweza nikamtrack kupitia ID namba mfano Nida? Shukrani
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,168 Reaction score 48,681 Mar 7, 2023 #2 Kama mtu amekuacha au hataki kuwasiliana na wewe ni vyema umwache afanye yake na wewe ufanye yako. Nenda tcra au mtandao husika wanaweza
Kama mtu amekuacha au hataki kuwasiliana na wewe ni vyema umwache afanye yake na wewe ufanye yako. Nenda tcra au mtandao husika wanaweza
SyntaxReaper JF-Expert Member Joined Dec 5, 2017 Posts 364 Reaction score 293 Mar 7, 2023 Thread starter #3 Sandali Ali said: Kama mtu amekuacha au hataki kuwasiliana na wewe ni vyema umwache afanye yake na wewe ufanye yako. Nenda tcra au mtandao husika wanaweza Click to expand... Namdai pesa ndugu
Sandali Ali said: Kama mtu amekuacha au hataki kuwasiliana na wewe ni vyema umwache afanye yake na wewe ufanye yako. Nenda tcra au mtandao husika wanaweza Click to expand... Namdai pesa ndugu