Tracking namba za simu

Tracking namba za simu

SyntaxReaper

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2017
Posts
364
Reaction score
293
Habari wadau

Naomba kujua kwa wataalam, hivi kama mtu amebadilisha namba za simu lakini akasajili namba mpya kwa majina yake, ie katumia ID yake naweza nikamtrack kupitia ID namba mfano Nida?

Shukrani
 
Kama mtu amekuacha au hataki kuwasiliana na wewe ni vyema umwache afanye yake na wewe ufanye yako.
Nenda tcra au mtandao husika wanaweza
 
Back
Top Bottom