Jaribu hii kama unatumia yahoo nenda kwenye inbox fungua one of e-mail ambayo unataka ku trace, kwa juu kwenye option delete ,reply ,forward,spam, icon ya folder,print,( icon ya more option,select this one), halafu click down arrow and select "view full header" then look for sender's ip address hapa utaona several ip address kutokana na number ya server zilizo tumika mpaka kukufikia Just jaribu zote tu, kisha google who is ip address au any ip address tracer. copy paste sender's IP address itakuonyesha wapi imetoka na unaweza kucheki kwenye google map pia ukaona hata jengo ambako imetoka au mtaa. Kama unatumia hotmail au provider wengine basi cheki vipi utaweza kuona full header, au jitumie kwenye yahoo then follow the procedure. hope this helps, au wadau wengine watakupatia njia nyingine rahisi zaidi.