Habar zenu wadau wa tra.Jana kuna mtu alienda kuliza kama wamemaliza kuita, akambiwa kuwa wamemaliza na wameita watu 91 kwa ass tax ofcrs
Kuna jamaa anafanya kazi pale nilimuliza kuhusu hii ishu akasema kuna baadhi ya vitengo vinaweza vikawa vinahitaji watu kwa hio usishangae ukisikia fulani kaitwa na si lazima ukitwa na wewe uende training ITA, unaweza kuingia mzigon moja kwa moja.
Tuombe Mungu kuwe na mapengo yanayohitaji kuzibwa mapema, labda tunaweza husika kuyaziba.
Pamoja sana wadau wenzangu wa tra