Tra

Tra

Brainy Chick

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
64
Reaction score
21
Kwa wale wa Assistant Tax Officer, simu bado zinaendelea kutiririka. Nina marafiki wawili wamepigiwa leo, msife moyo.
 
yeah, kitu kama hicho, nna taarifa kama hizo pia
 
Ebana um a new member in the forum,hop ya'ol welcome me!
Kuhusu tra nackia kuna second batch, sa sijui ndo hio waloanza kuita jana ama vp.
 
Habar zenu wadau wa tra.Jana kuna mtu alienda kuliza kama wamemaliza kuita, akambiwa kuwa wamemaliza na wameita watu 91 kwa ass tax ofcrs
Kuna jamaa anafanya kazi pale nilimuliza kuhusu hii ishu akasema kuna baadhi ya vitengo vinaweza vikawa vinahitaji watu kwa hio usishangae ukisikia fulani kaitwa na si lazima ukitwa na wewe uende training ITA, unaweza kuingia mzigon moja kwa moja.
Tuombe Mungu kuwe na mapengo yanayohitaji kuzibwa mapema, labda tunaweza husika kuyaziba.
Pamoja sana wadau wenzangu wa tra
 
Kwa upande wangu sina tarifa kuhusu hilo kwani hata hao walioitwa barua zao hazionyeshi training itaisha lini.ila from past exprience kwa mfano wa mwaka jana walikaa 2 months.
 
kwa wale ambao hatujaitwa T.R.A as Assistant tax officer inakuaje au bado wanaendelea kuita?
 
sio lazima kuitwa ila ni ile presha tu na pia kukaa bila kazi kwa muda mrefu ukiona hujaitwa unajiuliza mara mbilimbili hivi ndo hawaiti tena au inakuwaje

Ofcoz inatia mawazo,bora tu uambiwe kama ndo wamemaliza ili uwe na amani
 
Back
Top Bottom