Quinine Mwitu JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 5,530 Reaction score 6,119 Mar 25, 2017 #2 Duu hapo unaweza ingia leo ukapiga kesho zamu ya mwingine
Mwene chungu JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 915 Reaction score 752 Mar 25, 2017 #3 Acha wateuane tu.....
KV LONDON JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 903 Reaction score 242 Mar 25, 2017 #4 Teua baba teua, 2020 mwisho wako wa kuteua, usisahau kumteua Bashite kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kabla ya 2020
Teua baba teua, 2020 mwisho wako wa kuteua, usisahau kumteua Bashite kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kabla ya 2020
Kitotonya Senior Member Joined Dec 9, 2011 Posts 188 Reaction score 60 Mar 25, 2017 #5 kinacho nishangaza unakua kama mchezo wa draft..mtu hukai mahala ukatekeleza mipango mizuri ..mara unaondolewa analetwa mwingine..sasa sijui hajiamini katika teuzi zake..mmmh haya yeye ndio mwamuz
kinacho nishangaza unakua kama mchezo wa draft..mtu hukai mahala ukatekeleza mipango mizuri ..mara unaondolewa analetwa mwingine..sasa sijui hajiamini katika teuzi zake..mmmh haya yeye ndio mwamuz
strong ruler JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 4,919 Reaction score 3,312 Mar 25, 2017 #6 Ndo anachoweza tu huyu jamaa
X xhante xhosa Member Joined Nov 21, 2016 Posts 10 Reaction score 9 Mar 25, 2017 #7 nadhan kila kiongoz anapoteuliw anawek mikakat n malengo juu ya shughul alzopangiwa.ss kw hali hii y pang pangua malengo yanawez fikiw kweli?
nadhan kila kiongoz anapoteuliw anawek mikakat n malengo juu ya shughul alzopangiwa.ss kw hali hii y pang pangua malengo yanawez fikiw kweli?
A AZUSA STREET JF-Expert Member Joined Oct 31, 2013 Posts 2,007 Reaction score 1,898 Mar 25, 2017 #8 hivi mpaka leo wameshabadilishwa wangapi tangu Kitilya, na nini kimebadilika/kimeongezeka kiufanisi hadi sasa?
hivi mpaka leo wameshabadilishwa wangapi tangu Kitilya, na nini kimebadilika/kimeongezeka kiufanisi hadi sasa?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Mar 25, 2017 #9 Wa kule-kule nyumbani
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,030 Reaction score 126,475 Mar 25, 2017 #10 ng'ombo said: View attachment 486865 Click to expand... Ni matumaini yangu sasa zile Sinema za Kutengeneza kama siyo za Kulazimisha za Bandarini zitapungua kuanzia leo kwani kiukweli tumezichoka.
ng'ombo said: View attachment 486865 Click to expand... Ni matumaini yangu sasa zile Sinema za Kutengeneza kama siyo za Kulazimisha za Bandarini zitapungua kuanzia leo kwani kiukweli tumezichoka.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,847 Mar 25, 2017 #11 KV LONDON said: Teua baba teua, 2020 mwisho wako wa kuteua, usisahau kumteua Bashite kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kabla ya 2020 Click to expand... Kabisa
KV LONDON said: Teua baba teua, 2020 mwisho wako wa kuteua, usisahau kumteua Bashite kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kabla ya 2020 Click to expand... Kabisa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,847 Mar 25, 2017 #12 Bwana mkubwa yuko busy na teuzi.
Exogenous Factor JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 1,413 Reaction score 2,358 Mar 25, 2017 #13 KV LONDON said: Teua baba teua, 2020 mwisho wako wa kuteua, usisahau kumteua Bashite kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kabla ya 2020 Click to expand... Mkuu mimi hyo picha ya ID yako tu kusema ukweliii daah wacha nsimalizie yaan daah hivi aaah anyway.
KV LONDON said: Teua baba teua, 2020 mwisho wako wa kuteua, usisahau kumteua Bashite kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kabla ya 2020 Click to expand... Mkuu mimi hyo picha ya ID yako tu kusema ukweliii daah wacha nsimalizie yaan daah hivi aaah anyway.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,668 Reaction score 78,164 Mar 25, 2017 #14 Hongera kwake Hapa kazi tu
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Mar 25, 2017 #15 cocochanel said: Hongera kwake Hapa kazi tu Click to expand... Hapa bastola tu.
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Mar 25, 2017 #16 Kutengua na kuteuwa ndio mtindo,hivi hata efficiency itaonekana kwa hii style
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,140 Reaction score 6,356 Mar 25, 2017 #17 GENTAMYCINE said: Ni matumaini yangu sasa zile Sinema za Kutengeneza kama siyo za Kulazimisha za Bandarini zitapungua kuanzia leo kwani kiukweli tumezichoka. Click to expand... Hata wewe mwana ccm umezichoka sinema?
GENTAMYCINE said: Ni matumaini yangu sasa zile Sinema za Kutengeneza kama siyo za Kulazimisha za Bandarini zitapungua kuanzia leo kwani kiukweli tumezichoka. Click to expand... Hata wewe mwana ccm umezichoka sinema?
KV LONDON JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 903 Reaction score 242 Mar 25, 2017 #18 Allen Alfred said: Mkuu mimi hyo picha ya ID yako tu kusema ukweliii daah wacha nsimalizie yaan daah hivi aaah anyway. Click to expand...
Allen Alfred said: Mkuu mimi hyo picha ya ID yako tu kusema ukweliii daah wacha nsimalizie yaan daah hivi aaah anyway. Click to expand...
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,030 Reaction score 126,475 Mar 25, 2017 #19 mtzedi said: Hata wewe mwana ccm umezichoka sinema? Click to expand... Ndiyo.