P politiki JF-Expert Member Joined Sep 2, 2010 Posts 2,376 Reaction score 1,519 May 19, 2011 #41 Source ni gazeti la uhuru very biased news paper hivi kuna watu bado wanasoma gazeti la uhuru dunia hii ??
Source ni gazeti la uhuru very biased news paper hivi kuna watu bado wanasoma gazeti la uhuru dunia hii ??
Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 309 May 19, 2011 #42 Nani huyu tena anataka kuchafua mchana wangu kwa habari za kinafiki na kizushi hivi??? UHURU is a crap institution trying to portray a negative image of our heros
Nani huyu tena anataka kuchafua mchana wangu kwa habari za kinafiki na kizushi hivi??? UHURU is a crap institution trying to portray a negative image of our heros
K Kaboya Kenneth JF-Expert Member Joined Aug 4, 2009 Posts 293 Reaction score 290 May 19, 2011 #43 Dr Slaa kusema Luoga fisadi kosa, kwanini anagusa Miungu watu? mmh kazi ipo.
N Ngonini JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 2,023 Reaction score 565 May 19, 2011 #44 kauk said: Wameanza kumchezea simba mkia ngoja wafike kwenye sharubu wayaone makali yake... Click to expand... Watajuta kumfahamu!
kauk said: Wameanza kumchezea simba mkia ngoja wafike kwenye sharubu wayaone makali yake... Click to expand... Watajuta kumfahamu!